Afisa Mtendaji Wa Kijiji Daraja La – Dar es salaam – Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi

Kuajiriwa kwa waliohitumu kidato cha IV au VI na waliohitimu Astashahada ya maendeleo ya Jamii, sheria, Mipango ya Maendeleo vijijini kutoka vyuo vinavyotambulika na serikali

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 20
MISUNGWI

MASHARTI YA JUMLA
(C) Awe raia wa Tanzania
(D) Awe mwenye maadili mazuri
• Hajafukuzwa kazi
• Hajapunguzwa kazi
• Hajafungwa na kupatikana na kosa la jinai
• Awe tayari kufanya kazi eneo lolote Misungwi bila kuhama kwa kipindi cha miaka 5
• Barua ya maombi iambatanishwe na picha (2) za sasa passport size na vivuli (photocopy) vya vyeti vya elimu na Taaluma
• Andika namba ya simu ya mkononi katika barua ya maombi ili kurahisisha mawasiliano

Mwisho wa kupokea maombi ni 30/05/2015 saa 9:00 alasiri

[yuzo_related]