Mafundi wa Magari – Arusha – Easy Travel & Tours Ltd

Sifa
• Mtu mwenye ujuzi kwenye fani husika kwa miaka mitano (5) na kuendelea
• Awe na wadhamini wawili.

Mshahara
Makubaliano
Namna ya Kutuma Maombi
Waombaji wote watume barua ya maombi ikiambatana waraka sifa na uzoefu kwa njia ya posta au barua pepe au kuleta maombi katika ofisi zetu kwenye anuani inayoonekana hapa chini.
Maombi yote yanatakiwa kuwasilishwa kwa njia ya posta au kwa baruapepe itakayo onyesha nafasi unayoomba kutuma kwenye anuani tajwa hapo chini kabla ya tarehe 09/11/2015.
Maombi yasioonyesha namba rejea au zisizokuwa na majina na taarifa za mawasiliano ya mdhamini pamoja na mwombaji hazitapokelewa.

New Safari Hotel
Ground Floor
S.L.P 1912
Boma Road
ARUSHA – TANZANIA

Baruapepe: gm@easytravel.co.tz

[yuzo_related]