Illustrator – Dar es salaam – Taasisi Ya Elimu Tanzania

Mwombaji anapopeleka maombi yate TET aambatanishe na vivul ivyake vifuatavyo

– Certificate of incorporations
– Leseni ya biashara
– TIN number
– VAT
– Idadi ya wataalam katika kampuni pamoja na CV ya kila mmoja
– Uzoefu wa kampuni katika kufanya kazi ya uchoraji ambatanisha na zilzofanywa na kampuni

Mwombaji aainishe kwenye barua mahali ofisi ilipo . kama unaona inazo sifa za kufanya kazi hiyo andka barua na itumwe kwenye anuani ifuatayo
MKURUGENZI MKUU,
TAASISI YA ELIMU TANZANIA,
S.L.P 35094,
TANZANIA.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/11/2016
SOURCE DAILY NEWS NOVEMBER11, 2016

[yuzo_related]