Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linasikitishwa na taarifa za uvumi zilizotolewa kuenea kwenye mitandao ya kijamii face book, whatsapp na twitter zikieleza kuwa JWTZ inafanya usaili leo tarehe 15 May 2015 katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) kwa wale waliosoma fani ya Computer science, IT, Electronics na Mechanical Enginering. […]
Job Detail